GET /api/v0.1/hansard/entries/938471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938471,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938471/?format=api",
    "text_counter": 369,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": "Sisi wengine tumetembea na tumeona mengi. Ninatoka Kapenguria. Ukisikia Kapenguria, kuna wale wanaongea kuhusu “Kapenguria Sita”. Wakati niliingia katika Bunge la Nane, nilipata Mzee Mheshimiwa Paul Ngei akiwa anazunguka hapa akiwa kwa ile baiskeli ya"
}