GET /api/v0.1/hansard/entries/938473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938473,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938473/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, JP",
"speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
"speaker": {
"id": 318,
"legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
"slug": "samuel-moroto"
},
"content": "kuzungushwa. Wakati unamtazama na ukiangalia historia ya Kenya kuhusu wale ambao walipambana mpaka wakafika pale, alikua mmoja wao. Baadaye nikaona Mheshimiwa Ochieng Oneko na Hayati Kenyatta. Ni jamii moja inayojulikana lakini wale wengine watano hakuna mtu anayetaka kuongea juu yao. Kwa hivyo, miongoni mwetu, kuna wale ambao hawajui bei ya petroli kwa sababu wanabebwa kila mahali na wengine. Wengine wetu hapa wanafanya biashara na Serikali na kuna wale ambao wanatoka hapa na kuenda kuhudumia watu wao. Sasa tusifike mahali pa kusema kwamba mtu aende ajitengenezee kwa sababu wengine tumefika hapa hivi. Kusema hivyo, kwa njia nyingine, ni matusi."
}