GET /api/v0.1/hansard/entries/938474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938474,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938474/?format=api",
    "text_counter": 372,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": "Hivyo basi ninataka kuunga mkono na kusema kwamba wenzetu ambao wamekuwa hapa wamekuja kutusikiliza. Mimi nilikuja hapa katika Bunge la Nane na mshahara ambao nilianzia kulipwa ulikuwa Kshs150,000. Wengine waliniambia kuwa nilikuwa na bahati kwa sababu mshahara ulikuwa umeongezeka. Watu walikuwa wamefurahi sana. Ukitaka kuchukua mkopo hata wa kununua gari au kujijenga au kusaidia familia yako ama waliokuchagua, ilikuwa ngumu. Sisi kama Wajumbe ambao tuko hapa, Mungu ametupenda na akatuleta hapa, na watu wetu pia Mungu akawasababisha kutuchagua, tusije tukaweka wenzetu vibaya. Leo ni wao na kesho atakuwa mwingine hapa hivi."
}