GET /api/v0.1/hansard/entries/938475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938475/?format=api",
"text_counter": 373,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, JP",
"speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
"speaker": {
"id": 318,
"legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
"slug": "samuel-moroto"
},
"content": "Mimi pia wakati mmoja sikuchaguliwa Bungeni. Nilikuja mara mbili halafu nikabaki nje. Niliona kwamba kubaki nyumbani ni shida. Wakati watu wanaongea, wengine hawaelewi na hawajaonja shida ya kuwa nje na wananchi hawajali. Wanafikiri kuwa wewe bado uko sawa. Mwingine anasema wewe ni wetu."
}