GET /api/v0.1/hansard/entries/938476/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938476,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938476/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": "Nafupisha kusema kuwa niko katika Kamati ya Huduma ya Wabunge. Nimeenda India, na ufikapo huko, yule Mjumbe wa zamani, anapewa tikiti mara nne kwa mwaka ya kusafiri mahali ambapo anataka akitumia ndege. Anapewa karibu mara kumi na tano kwa kusafiri kwa reli. Pia, anapewa matibabu kwa jamii yake. Sijui ni nini inayofanya tusiwaangalie wenzetu jambo hili linafanyika kwengine. Nimeenda karibu nchi tatu na wanajali wenzao waliotumikia watu mbeleni."
}