GET /api/v0.1/hansard/entries/938477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938477,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938477/?format=api",
"text_counter": 375,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, JP",
"speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
"speaker": {
"id": 318,
"legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
"slug": "samuel-moroto"
},
"content": "Wanasema kuwa yule ambaye amechaguliwa na amekuwa mwanasiasa hakuna kampuni itamuajiri. Wakati umetoka Bungeni, unashukiwa sana na hivyo ndivyo ilivyo hapa Kenya. Kwa hayo, ninaunga mkono. Kwa hivyo, tuunge mkono na tulete amendments nzuri ambazo zitasaidia wenzetu na jamii zao."
}