GET /api/v0.1/hansard/entries/938555/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938555,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938555/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, ninaomba msamaha kwa kuchelewa kufika Bungeni kwa wakati uliyotengwa. Hii ni kwa sababu tulipata shida ya usafiri kutoka kiwanja cha ndege hadi hapa jijini kwa sababu ya msongamano wa magari. Tunaomba ile Express Highway itengenezwe haraka kwa sababu tunapoteza wakati mwingi barabarani. Hata hivyo, ninaomba kuuliza taarifa yangu."
}