GET /api/v0.1/hansard/entries/938557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938557,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938557/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nakushukuru kwa kunipa fursa hii ili niombe taarifa chini ya Kifungu No.48 (1) cha Kanuni za Bunge la Seneti. Naomba taarifa hii kwa Kamati ya Leba na Huduma za Jamii kuhusu maandalizi ya uchaguzi na usimamizi katika Shirika la Kandanda nchini yaani, Football Federation of Kenya (FKF) unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Novemba hadi tarehe 7 Decemba mwaka huu."
}