GET /api/v0.1/hansard/entries/938558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938558,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938558/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Katika taarifa hii, Kamati inapaswa kueleza- (1) Sababu za kuzuiliwa kwa vilabu zaidi ya 23 vinavyoshiriki ligi tofauti zinazoandaliwa na tawi la FKF la Mombasa kutoshiriki katika uchaguzi wao akiwemo mwenyekiti wa shirikisho hilo katika tawi la Mombasa. (2) Kufafanua mipangilio kuhakikisha kuwa matawi yote ya FKF nchini yanahusishwa katika uchaguzi utakaoanza tarehe 23 Novemba, hasa ikizingatiwa kwamba kati ya matawi 47, matawi 37 tayari yamepita bila kupingwa; yaani hakuna uchaguzi katika matawi hayo. (3) Kuelezea mikakati iliyowekwa kuhakikisha kwamba wagombea wote hawatafungiwa nje ya uchaguzi bila sababu thabiti na kwamba uchaguzi wa FKF ni wa haki na uwazi kwa washiriki wote."
}