GET /api/v0.1/hansard/entries/938576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938576,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938576/?format=api",
"text_counter": 85,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, ninataka kumpongeza Senata wa Mombasa, Sen. Faki, kwa taarifa yake nzuri. Mchezo wa kandanda unaweza kutumika na vijana wetu kama kitega uchumi. Lakini kitega uchumi hiki kimeanza kufuatiliwa na ufisadi. Itakuwaje uchaguzi katika Shrikisho la Kandanda utafanywa na vilabu 18, ilhali nchi yetu kuna vilabu vingi sana?"
}