GET /api/v0.1/hansard/entries/938595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938595,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938595/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "(CoG) kukaa pamoja na Contoller of Budget ili kuangalia hizi pending bills, ili watu hawa wasiwe na shida zaidi. Tukifanya hivyo, wataweza kulipa madeni yao, na maisha yao yasisimame. Bw. Spika, Taarifa hii imetoka wakati mzuri, ila tayari tumechelewa, lakini ni vyema kabisa kwa Seneta wa Wajir kutoa taarifa hii kwa wakati huu. Tunaunga mkono kwamba magavana walipe pesa hizo. Hakuna mtu anadai gavana pesa, kwa sababu kandarasi imetolewa na serikali. Wao wameenda kuweka vidole pamoja na serikali hio. Huyo gavana atatakikana kulipa hiyo pesa hata kama hatakuwa mamlakani kwa sababu hio pesa sio yake bali ni pesa ya serikali."
}