GET /api/v0.1/hansard/entries/938599/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938599,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938599/?format=api",
"text_counter": 108,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "tatu kabla ya kuwalipa. Baadaye, unapata ya kwamba, pesa walizopata kwenye benki inashinda deni walilokopa. Watu wengi wamekuwa na ugonjwa wa moyo, wengine wamejitia vitanzi na wengine wamekufa. Si haki mtu kutokulipwa baada ya kufanya kazi. Taarifa hii ni muhimu sana katika nchi yetu. Magavana wanafaa kulipa watu ambao wamefanya kandarasi. Wale chief officers ambao wanazembea kazi zao kwa kuwalipa marafiki wao wanafaa kuchunguzwa na ikipatikana eti wanafanya hivyo, basi hatua ichukuliwe. Ninaunga mkono kauli hii ambayo imeletwa na ndugu yangu ambaye ni jabali katika lile Bunge la Kiafrika, kule Johannesburg, na vile vile katika Bunge la Seneti."
}