GET /api/v0.1/hansard/entries/938658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938658,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938658/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "basi kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Wilson ni kama tu kuingia ndani ya mlango wa hospitali. Kwa hiyo, uangalifu wa Uwanja wa Ndege pia unahitajika katika kitengo hiki; na pia kamati yetu ya uchukuzi inafaa iangalie jambo hili kwa kina. La mwisho, Bw. Naibu Spika, ni kwamba kama vile ilivyosemwa hapo awali, uwanja huu upo katika hali ya kusikitisha hata kama unatumiwa na vifaa hivyo vya kusafiri, kama ndege. Wakati ukija na ndege hiyo ndogo, utaona vile utakavyodunda, urudi hewani kwanza, halafu ndio uregee tena uendelee mpaka ndege isimame."
}