GET /api/v0.1/hansard/entries/938662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938662,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938662/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Nitazungumzia jambo hili kwa ufupi. Kweli kabisa, nilipomsikia rafiki yangu, Sen. Madzayo, akizungumza, nilikumbuka siku ambayo nilidunda mara tatu katika Jimbo la Kilifi, ambako ni jirani na kwangu. Kidogo roho yangu ilipaa juu kidogo."
}