GET /api/v0.1/hansard/entries/938716/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938716,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938716/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Naunga mkono kuongeza muda kwa hii Kamati inayochunguza vifaa vilivyopelekwa katika Kaunti vya kusaidia wananchi kiafya katika kaunti tofauti katika taifa la Kenya. Ni ukweli kabisa kwamba kazi iliyopewa kamati hii nikiwa mmoja wao ni ngumu sana. Taifa nzima la Kenya limepewa vifaa kama hivi katika kaunti zote 47 vitumiwe kusaidia hospitali. Hata hivyo, uzito ni kwamba katika uchunguzi kupatikana kwa watu hawa kuja kutueleza na sisi kuenda kule kuangalia vile vifaa inachukua muda."
}