GET /api/v0.1/hansard/entries/938717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938717/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ningependa kusema kwamba shughuli kama hii inatakikana iangaliwe kwa kina ili kuleta ripoti. Vifaa vingine ambavyo vinadhuru wananchi kiafya vimepelekwa katika sehemu fulani ambapo hakuna madaktari maalum. Tunauliza ni kwa sababu gani watu ambao sio wataalamu wanaruhusiwa kutumia vifaa kama vile vya upigaji picha na hawawezi kujua wataweka miale ya aina gani ambayo itaingia katika mwili wa binadamu?"
}