GET /api/v0.1/hansard/entries/938718/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938718,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938718/?format=api",
"text_counter": 227,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kazi iliyoko mbele yetu ni ngumu na inahitaji muda. Ninafikiria muda uliokubaliwa katika Kamati kwamba wanaomba muda wa siku 45 ni kadiri. Si muda ulioongezwa zaidi ama kidogo. Natumaini kwamba katika muda huu wa siku 45, tunaweza kuafikiana na kufika mwisho wa safari yetu. Pia, tunaweza kuleta ripoti muhimu na iliyokamilika ya utumiaji wa vifaa hivi hospitalini."
}