GET /api/v0.1/hansard/entries/939076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 939076,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/939076/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante Mhe. Spika. Naunga mkono. Usalama ni muhimu. Tushirikiane tusonge mbele. Mbali na kule South Africa, hapa Kenya ukosefu wa usalama unachangia mambo mengine ambayo hayatusaidii. Kwa mfano, kwenye shughuli ya kuhesabu watu, wakazi wa Lamu tumeathirika sana kwa sababu ya hali mbaya ya usalama. Maafisa wahusika hawakuenda kuhesabu watu katika sehemu nyingine wakihofia usalama wao. Hivyo basi, watu wa Lamu County tunaonekana kuwa wachache. Tuko wengi lakini kwa sababu ya ukosefu wa usalama maafisa wahusika hawakuenda katika sehemu za Msitu wa Boni kama vile Sadan na Vumbe kuhesabu watu. Kuna sehemu nyingi ambazo watu huenda mashambani kulima. Maafisa wa"
}