GET /api/v0.1/hansard/entries/939078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 939078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/939078/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "hawakufika huko kuwahesabu watu. Kisha wakasema watu wa Lamu ni wachache zaidi Kenya. Hiyo inaenda kutuathiri sana. Kihistoria, Lamu tumekuwa na maeneo Bunge mawili. Tunatishiwa na hiki kiwango cha watu. Tuko taabani na matatizo mengi. Hayo maeneo Bunge mawili yakiondolewa, itatuathiri zaidi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}