GET /api/v0.1/hansard/entries/939477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 939477,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/939477/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu la Seneti. Ningependa kumpongeza Sen. Cherargei kwa kutayarisha taarifa hii. Nimechangia pakubwa katika utayarishaji wa taarifa hii, kwa hivyo, baadhi ya kongole pia zinafika kwangu."
}