GET /api/v0.1/hansard/entries/939480/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 939480,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/939480/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, kwa siku za karibuni, uhuru wa Kamati hii ya usimamizi wa mahakama umeingiliwa katika utendakazi wake. Hii ni kwa sababu mapendekezo ambayo yamepelekwa kwa Serikali kuhusiana na uchaguzi ama uteuzi wa majaji umekwamishwa. Huko ni kuingilia uhuru wa mahakama, na ni lazima sisi Wabunge wa Seneti tukemee jambo hilo."
}