GET /api/v0.1/hansard/entries/939483/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 939483,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/939483/?format=api",
    "text_counter": 296,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Karibu, Bi. Spika wa Muda. Uhuru wa kifedha ni muhimu, kwa sababu unaipa taasisi ile ya Serikali uhuru wa kupanga matumizi na ukusanyaji wa fedha zake, ambao unaipa mahakama fursa ya kupanga kazi zake na matumizi yake bila ya kuingiliwa na taaasisi yoyote nyingine ya Serikali."
}