GET /api/v0.1/hansard/entries/940520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 940520,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/940520/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana Bw, Spika, kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuunga mkono Taarifa hii ambayo imeitishwa na Sen. Wetangula, wa Kaunti ya Bungoma. Ni jambo la kuvunja moyo kuona walinda usalama wengi zaidi wamewekwa katika shule zetu. Wengi wao wamejihami vilivyo. Wakiwa wengi vile, wanaogofya wanafunzi, ilhali The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}