GET /api/v0.1/hansard/entries/941539/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 941539,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941539/?format=api",
    "text_counter": 455,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika. Nitakuchangia Hoja hii kwa kutumia lugha ya Kiswahili ili wale wananchi ambao wananisikiliza waelewe jambo ambalo tunalizungumzia juu yake. Napinga Hoja hii vile nilivyoipinga kwenye Kamati. Sijabadili msimamo bado nasimama na “Wanjiku, Nyaboke na Akinyi’. Katika ripoti ya Kamati mimi ni mmoja waliyolipinga jambo hili la mkopo zaidi kwa wananchi."
}