GET /api/v0.1/hansard/entries/941541/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941541,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941541/?format=api",
"text_counter": 457,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kaimu Waziri wa Fedha alipokuja kwetu akiuliza waongezewe kiwango cha kuchukua deni hakuleta ratiba ya kuonyesha pesa hiyo itafanya nini. Ukiona Bajeti kama vile Mhe. Cheruiyot alivyosema ile deficit iliyokuwa kwa ile pesa ilikuwa Kshs1.2 trillioni. Ukiweka inafaa pesa wanayohitaji---"
}