GET /api/v0.1/hansard/entries/941549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941549,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941549/?format=api",
"text_counter": 465,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "Waswahili husema kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Kama Hoja hii ingekuwa nzuri, basi watu hawangetoa maoni yao wenyewe na wapige kura inavyostahili bila kushurutishwa na Kiongozi wa Wengi katika Seneti? Inaonekana kwamba kuwa kuna watu mahali wanaotaka Seneti ipige kura vile wanavyotaka, si vile itakavyommfaidi"
}