GET /api/v0.1/hansard/entries/941554/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941554,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941554/?format=api",
"text_counter": 470,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Orengo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 129,
"legal_name": "Aggrey James Orengo",
"slug": "james-orengo"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, umeelewa vile Sen. Omanga, aliyekuwa akiongea amesema ya kwamba wanashurutishwa. Pengine hakutumia neno hilo lakini yale aliyoyasema, inamaanisha kwamba wanashurutishwa kupiga kura na kuzungumza. Hili ni jambo ambalo lazima lirekebishwe kwa sababu Katiba inasema kwamba kuna uhuru wa kuzungumza na kupiga kura ndani ya Seneti. Kwa hivyo, inaweza ikaeleweka huko nje kwamba kuna watu wengine hapa ambao wanashurutishwa. Sijasikia mtu yeyote ambaye amesema kwamba yaliyotoka katika mdomo wake ni mambo ya kushurutishwa."
}