GET /api/v0.1/hansard/entries/941759/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941759,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941759/?format=api",
"text_counter": 31,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Miaka nenda miaka rudi, watu wamekuwa maskini na wengine kuuliwa. Hata sasa, tuko na watu karibu wanne ambao wako hospitalini Nakuru. Wamevunjika miguu na hakuna mtu anayewashughulikia. Wanapigana na kuuana tu ilhali Serikali iko kila mahali. Ng’ombe wanapita tu wakiangaliwa. Pia wao wanauliwa na hakuna hatua inayochukuliwa. Ninaunga mkono Kamati ya Usalama ichukulie maanani Ombi hili. Ni suala ambalo halina mchezo. Asante Bwana Spika kwa kunipatia hii nafasi."
}