GET /api/v0.1/hansard/entries/941954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941954/?format=api",
"text_counter": 226,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuresoi North, JP",
"speaker_title": "Mhe. Moses Cheboi",
"speaker": {
"id": 329,
"legal_name": "Moses Kipkemboi Cheboi",
"slug": "moses-cheboi"
},
"content": " Nasema “Mhe. Ndugu Spika” kwa sababu hivyo ndivyo inafanywa. Singesema hivyo kwa Kiingereza lakini tunasema “Mhe. Ndugu Spika” kwa Kiswahili na eneo ambapo Kanuni za Kiswahili zinatumika. Mhe. Ndugu Spika, naomba kutoa Hoja: KWAMBA, Bunge hili liridhie Ripoti ya Tatu ya Kamati ya Utaratibu na Masharti ya Bunge kuhusu utafsiri wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa kwa lugha ya Kiswahili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}