GET /api/v0.1/hansard/entries/941955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 941955,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941955/?format=api",
    "text_counter": 227,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kuresoi North, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Moses Cheboi",
    "speaker": {
        "id": 329,
        "legal_name": "Moses Kipkemboi Cheboi",
        "slug": "moses-cheboi"
    },
    "content": "iliyowasilishwa Mezani mwa Bunge la Taifa Jumanne, tarehe ishirini na tisa Oktoba mwaka huu, na kuidhinisha toleo la Kiswahili la Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa, na vilevile kuamua kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa kwa lugha ya Kiswahili zianze kutumika mwanzoni mwa Kipindi cha Nne cha Bunge la Kumi na Mbili. Kanuni za Kudumu ni Standing Orders, Mr. Speaker. Nimesema “Kanuni za Kudumu”. I am just trying to keep abreast."
}