GET /api/v0.1/hansard/entries/941987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941987,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941987/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mhe. Spika, nasimama kuunga mkono Hoja hii. Kama tulivyosikia, ni Ripoti inayohusu Kanuni za Kudumu za Kiswahili. Shukrani na heko zangu kwa Kamati ya Utaratibu na Masharti ya Bunge kwa kuleta Hoja hii. Namshukuru Katibu wa Bunge na Jopo lililotayarisha Kanuni hizi. Hii ni hatua muhimu sana."
}