GET /api/v0.1/hansard/entries/941993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941993,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941993/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mhe. Spika, Mbunge wa kule Migori ni mtu wa matata. Naomba unilinde kutokana naye ili niweze kuongea Kiswahili sanifu kwa vile leo nimepewa Kamusi na ndugu Naibu Spika na Mwenye Kiti wa Kamati ambaye inawakilisha wanakamati wengine Bungeni. Mhe. Spika, ni furaha yangu na ninaamini kwamba pia ni furaha yetu sote kama viongozi, kuona wananchi wakishiriki katika mjadala wa uongozi. Huu ndio uwezo na uwajibikaji wetu tukiwa wananchi wazalendo na viongozi.Vile vile, hii itasaidia kustawisha Jumuia ya Afrika Mashariki na Afrika nzima. Kiswahili ni kiungo cha kuwaunganisha Wakenya, Wafrika na mataifa mengine ulimwengu kote."
}