GET /api/v0.1/hansard/entries/941998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 941998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941998/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suna East, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Junet Nuh",
"speaker": {
"id": 2840,
"legal_name": "Junet Sheikh Nuh",
"slug": "junet-sheikh-nuh"
},
"content": " Mhe. Spika, nimesimama kwa jambo la nidhamu. Kulingana na Kanuni ya 80, unaruhusuhiwa kuangalia kile ambacho umeandika lakini hufai kusoma. Ni lazima uifanye hiyo Kanuni itumike. Inaonekana Kiongozi wa Wengi Bungeni anasoma taarifa. Kanuni ya 80 ya Bunge la Taifa inasema kwamba tunaweza kuchungulia stakabadhi za maandalizi yetu na wala sio kusoma."
}