GET /api/v0.1/hansard/entries/942000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942000,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942000/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Suna East, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Junet Nuh",
    "speaker": {
        "id": 2840,
        "legal_name": "Junet Sheikh Nuh",
        "slug": "junet-sheikh-nuh"
    },
    "content": "Mhe. Spika, ni lazima tufuate Kanuni za Bunge hili. Kanuni zetu zishageuzwa kwa Kiswahili. Ni lazima tufuate Kanuni ya 80, ambayo inaturuhusu kuchungulia maandishi yetu ya matayarisho. Mtu hafai kusoma kana kwamba anatoa hotuba. Kiongozi wa Wengi anatoa hotuba ndani ya Bunge. Inafaa azungumze bila kusoma. Anastahili kuchungulia tuu maandishi yake ndiyo yaweze kumsaidia kidogo."
}