GET /api/v0.1/hansard/entries/942002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942002,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942002/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mhe. Spika, Mbunge wa Suna hakusoma Kanuni ya 80 vilivyo na kikamilifu. Kanuni ya 80, Ibara ya (2), inasema kwamba Spika wa Bunge, mara kwa mara, kulingana na jinsi ambayo hoja iko – na kwa vile leo ni siku ya kwanza – anaweza kukubali. Nikimsomea, inasema “Spika anaweza kumruhusu Mbunge kusoma Mchango ikiwa Spika ameridhika kwamba kufanya hivyo ni muhimu katika kufafanua jambo.” Kwa hivyo, namuomba Mbunge wa Suna aridhike kwa sababu anafanya ubaguzi. Naibu wa Spika pia alisoma."
}