GET /api/v0.1/hansard/entries/942009/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942009,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942009/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Rarieda, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Dkt.) Otiende Amollo",
"speaker": {
"id": 13465,
"legal_name": "Paul Otiende Amollo",
"slug": "paul-otiende-amollo"
},
"content": " Ahsante sana Mhe. Spika. Nimesimama chini ya Kanuni ya Bunge, Kipengele cha 77 na pia 95. Kwanza, ningependa utoe uamuzi wa kipekee kulingana na Kanuni ya 77. Wenzangu wameendelea kudhania kwamba kwa sababu Hoja ilitolewa kwa lugha ya Kiswahili, eti ni lazima kila mtu aongee kwa Kiswahili. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}