GET /api/v0.1/hansard/entries/942010/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942010,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942010/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "speech",
"speaker_name": "Rarieda, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Dkt.) Otiende Amollo",
"speaker": {
"id": 13465,
"legal_name": "Paul Otiende Amollo",
"slug": "paul-otiende-amollo"
},
"content": "Mhe. Spika, kulingana na Kanuni zetu za Bunge, inaonekana na kwa kuelewa kwangu ni uamuzi wa Mbunge yeyote kuamua iwapo atazungumza Kiswahili ama Kiingereza, mradi unapoanza kwa Kiswahili, umalize kwa Kiswahili. Ukianza kwa Kiingereza, umalize kwa Kiingereza. Ndio wale ambao hawawezi kuelewa lugha ya Kiswahili wapewe nafasi ya kuchangia na kuongea kidogo kidogo."
}