GET /api/v0.1/hansard/entries/942011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942011,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942011/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rarieda, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. (Dkt.) Otiende Amollo",
    "speaker": {
        "id": 13465,
        "legal_name": "Paul Otiende Amollo",
        "slug": "paul-otiende-amollo"
    },
    "content": "Pili, kulingana na Kipengele cha 95, ningeomba kwamba kulingana na uamuzi wako wa hapo mbeleni, kuna lile jambo Mbunge wa Homa Bay alileta na inafaa tulichangie. Ningeomba kwamba Naibu Spika, apewe nafasi ya kujibu halafu tukubali na twende kwa mambo mengine. Ahsante sana Mheshimiwa Spika."
}