GET /api/v0.1/hansard/entries/942012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942012,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942012/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ngojeni ! Ni kweli vile Mhe. Otiende Amollo amesema. Yale amesema ni ya kweli na ndiyo utaratibu uliyoko katika Kanuni zetu zilizopo. Ni vile tungetaka kuongezea kuwa tuna tafsiri ya zile Kanuni. Kwa hiyo, Kanuni zetu zipo bado. Hatujazifutilia mbali na zitaendelea kutumika. Kwa hivyo, ndio wengine wasiteseke..."
}