GET /api/v0.1/hansard/entries/942014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942014,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942014/?format=api",
"text_counter": 286,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nasikia Mheshimiwa wa Ugenya anasema “sio leo” na Mheshimiwa Millie Odhiambo anasema anataka Kiswahili. Basi, iwapo utachagua kutumia Kiswahili ni sawa. Iwapo unashindwa, tutakuruhusu kwa leo kama kuna jambo ambalo huwezi kulitamka kwa Kiswahili, unaweza kutumia lugha ya Kimombo halafu uwaulize wenzako karibu nawe wakupatie utafsiri wake."
}