GET /api/v0.1/hansard/entries/942017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942017,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942017/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mbunge Mteule, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. (Bi.) Dennitah Ghati",
    "speaker": null,
    "content": "Niruhusu kwanza nikupatie kongole zangu kwa sababu kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge hili, tumeweza kujadili maneno katika Bunge hili kwa lugha ya kitaifa ambayo ni lugha inatambulika katika Katiba yetu tukufu ya Kenya. Kwa hivyo, Kiswahili lazima kitukuzwe. Hapa Kenya, Kiswahili ni lugha ya taifa. Mahali ninakotoka katika jamii yangu ya Wakuria, Kiswahili ndiyo lugha ambayo inatumika kama ya lugha ya mama."
}