GET /api/v0.1/hansard/entries/942019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942019,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942019/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mbunge Mteule, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Bi.) Dennitah Ghati",
"speaker": null,
"content": "Tunaweza kusema kwamba kila Jumatano asubuhi ama mchana, Wabunge wajadili mambo yanayotuhusu katika lugha ya Kiswahili. Wale Wabunge kutoka eneo la Pwani, Kiswahili ni lugha ambayo inatumika siku baada ya siku. Kwa hivyo, ningependa kuomba hivi: Utenge siku moja ama masaa machache ambayo Wabunge wanaweza wakajadili mambo ya kitaifa katika lugha ya Kiswahili."
}