GET /api/v0.1/hansard/entries/942020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942020/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mbunge Mteule, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Bi.) Dennitah Ghati",
"speaker": null,
"content": "Ukifanya hivyo, wenzetu Watanzania wanaweza kufurahi kwa sababu tunavyoongea sasa hivi wao wanashangaa tunaongea Kiswahili katika Bunge hili. Wao wanongea katika Bunge lao na sisi kwa sababu ya Jumuia yetu ya Afrika Mashariki, hili ni jambo ambalo wewe mwenyewe The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}