GET /api/v0.1/hansard/entries/942031/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942031,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942031/?format=api",
    "text_counter": 303,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Suba North, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. (Bi.) Odhiambo-Mabona",
    "speaker": {
        "id": 376,
        "legal_name": "Millie Grace Akoth Odhiambo Mabona",
        "slug": "millie-odhiambo-mabona"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii niunge mkono Hoja hii ya Uidhinishaji wa Toleo la Kiswahili la Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa, ambayo imeletwa na Mwenyeketi wa Kamati ya Utaratibu na Masharti ya Bunge. Wahenga walisema kuwa Wabara hawaongei Kiswahili na “Kiswahili si mdomo chetu”. Kwa hivyo, naomba mtu asisimame kwa hoja ya nidhamu ya kukataza nisome mchango kwa sababu ni lazima nisome. Ni muhimu kutafsiri Hoja hadi Kiswahili kwa sababu ni lugha ya taifa. Mhe. Spika, nimesema watu kama Mhe. Junet wasinisumbue! Nimesema Wabunge wasisimame kwa hoja ya nidhamu kukataza nisome mchango kwa sababu ni lazima kurefer . Vile mlivyo"
}