GET /api/v0.1/hansard/entries/942033/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942033,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942033/?format=api",
"text_counter": 305,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba North, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Bi.) Odhiambo-Mabona",
"speaker": {
"id": 376,
"legal_name": "Millie Grace Akoth Odhiambo Mabona",
"slug": "millie-odhiambo-mabona"
},
"content": "kwa kufanya kazi nzuri Bungeni, nikimaliza nipatiwe nomination kwa sababu ya kujaribu kuongea Kiswahili. Lakini ninajua tukiamua kuchangia Hoja kwa lugha ya Kiswahili, kila wakati watu wengi watatoroka kama walivyotoroka. Ndiyo itaeleweka ni wangapi wanaelewa Kiswahili na wangapi wanatangatanga. Imeonekana wazi mchana kwamba mimi siwezi tangatanga katika Kiswahili kwa sababu naelewa lugha hii. Naelewa lugha ya Kiswahili lakini mngeniambia kurefer ni nini The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}