GET /api/v0.1/hansard/entries/942036/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942036,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942036/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba North, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Bi.) Odhiambo-Mabona",
"speaker": {
"id": 376,
"legal_name": "Millie Grace Akoth Odhiambo Mabona",
"slug": "millie-odhiambo-mabona"
},
"content": ". Kuna wengi wetu ambao wanaongea Sheng . Ukikwama, unaongea Kiingereza halafu unasema unajua Sheng. Lakini ni shida tu ya Kiswahili ndio unapata. Kwa hivyo, kwa sababu ya watu kama mimi ambao wana shida kidogo kidogo, wacha tutafsiri kwa Sheng ili mimi pia niweze kuponyoka."
}