GET /api/v0.1/hansard/entries/942048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942048,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942048/?format=api",
"text_counter": 320,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba East, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Junet Nuh",
"speaker": {
"id": 2840,
"legal_name": "Junet Sheikh Nuh",
"slug": "junet-sheikh-nuh"
},
"content": " Mhe. Spika, nasimama kuunga mkono Hoja hii ya Bunge kuridhia kwamba Kanuni za Kudumu zitafsiriwe kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Jambo la pili ni kwamba nilikuwa nimekosea hapo mbeleni. Nilisema kwamba kurefer ni kuchungulia. Ni kusoma dondoo. Nimegundua saa hii. Nilikuwa nimesema kurefer ni kuchungulia. Kumbe kuchungulia ni mambo mengine. Sasa ni kusoma dondoo. Kurejelea ni kurudia. Mimi siwezi kuongea zaidi ya dakika mbili. Sitaki kukudanganya. Kiswahili changu hakiwezi kupita dakika mbili."
}