GET /api/v0.1/hansard/entries/942051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942051,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942051/?format=api",
"text_counter": 323,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba East, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Junet Nuh",
"speaker": {
"id": 2840,
"legal_name": "Junet Sheikh Nuh",
"slug": "junet-sheikh-nuh"
},
"content": "Naunga mkono Hoja hii. Hili ni jambo la maana sana ambalo limefanyika katika Bunge. Kama vile wenzangu wamesema, tuwe tukizunguma Kiswahili siku moja kwa mfano, Jumatano asubuhi. Hakuna haja ya wewe kuvurutana na Kiingereza. Naunga mkono Hoja hii. Nimesindikiza Hoja hii vibaya sana."
}