GET /api/v0.1/hansard/entries/942055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942055,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942055/?format=api",
"text_counter": 327,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kiminini, FORD-K",
"speaker_title": "Hon. (Dkt.) Chris Wamalwa",
"speaker": {
"id": 1889,
"legal_name": "Chrisantus Wamalwa Wakhungu",
"slug": "chrisantus-wamalwa-wakhungu"
},
"content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Spika. Nasimama kulingana na hoja ya utaratibu ya 95 kwamba Hoja hii imejadiliwa kutosha. Tulitaka kuongea kuhusu yale maneno ya Treasury na Judiciary . Ulitupa hakika ya kwamba tutayajadili baadaye. Wengi wetu tuko hapa kwa sababu tunataka tuchangie jambo hilo. Naomba tumuite aliyeleta Hoja hii, Naibu Spika, ajibu ili tuendelee na mambo mengine. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}