GET /api/v0.1/hansard/entries/942058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942058/?format=api",
"text_counter": 330,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kitui Central, WDM-K",
"speaker_title": "Mhe. Makali Mulu",
"speaker": {
"id": 1955,
"legal_name": "Benson Makali Mulu",
"slug": "benson-makali-mulu"
},
"content": "Nikimalizia, tunapokutana na ndugu zetu kutoka Tanzania, wao husema Kiswahili kilizaliwa huko kwao na wanakiongea kutoka wazaliwe na wakiendelea kukua. Kilipofika Kenya, kikalelewa kidogo. Kwa sababu sisi tulilea Kiswahili, hatujafikia kiwango cha kujua Kiswahili sanifu. Kilipofika Uganda, kilikufa huko. Kilipoenda Rwanda, wakakiweka kwa kaburi. Kwa hivyo, tusiwe na shaka tunapoongea Kiswahili. Tutie bidii. Tukiendelea kuongea, utafika wakati wa kuweza kuongea Kiswahili sanifu na tutakuwa tunasaidiana na wale Wakenya ambao hawaelewi lugha ya Kiingereza."
}